Loading...
ใ€Œใƒ„ใƒผใƒซใ€ใฏๅณไธŠใซ็งปๅ‹•ใ—ใพใ—ใŸใ€‚
ๅˆฉ็”จใ—ใŸใ‚ตใƒผใƒใƒผ: watawata37
55ใ„ใ„ใญ 3026ๅ›žๅ†็”Ÿ

Samaki Changu ni mzuuuri jamani ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿฅฐ Choma hivi ufurahie

sakami 3 wa size
Paprika 1tbsp
Fish masala ya Unga 1tbsp
fish masala ya limao 1tbsp
mafuta 3tbsp
swaum na Tangawizi 1tbsp

limao 1 kata slices
vilgilan kias
vipande vya hoho na kitunguu maji

ใ‚ณใƒกใƒณใƒˆ